 |
Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman akimtunuku nondozzz ya Uwakili Mrakibu wa Polisi James Kasusura wa makao makuu ya Jeshi la polisi leo katika viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam ambapo jumla ya mawakili 2888 wa jinsia tofauti wameapokelewa rasmi kwenye kazi |
 |
Mdau Allan Maduhu akiwa na mai waifuw wake, Janet, pamoja na mama mkwe wake Judge Fedrica W. Mgaya katika sherehe hio ya kuapishwa kuwa wakili leo. |
Zuletha Fundi akijidai na wazazi wake Da'Sauda na Seif Fundi baada ya k,upata uwakili
Kina Matinyi nao ndani ya nyumba
HONGERENI SAANA....ILA INABIDI WENGINE MHAMIE MIKOANI, MAWAKILI WAPO WENGI SANA HAPA MJINI
ReplyDeleteHongereeni wote kwa sana.Halafu hiyo picha ya kati 'Da Zule'umefanya vizuri sana kuwaalika wazazi wako.Picha "simpo","nachuroo".Najua umewakumbuka walivyokuwa wanaangaika kukutafutia karo ya shule.Usiwasahau hao.
ReplyDeleteDavid V
Hongera sana wote mliopata uwakili. Hamna haja ya kuhamia mikoani kwani hapa mjini kesi nazo ni nyingi sana, hivyo kila mmoja wenu atapata kazi tu.
ReplyDeleteHongera Melinda!
ReplyDeleteI'm very proud of my sister congratulations...ur truly lovely with all ma heart sis L newyork,NY.congrats all of ya.
ReplyDelete