Jaji Mkuu Mh. Mohamed Chande Othman akimtunuku nondozzz ya Uwakili Mrakibu wa Polisi James Kasusura wa makao makuu ya Jeshi la polisi leo katika viwanja vya Karimjee hall jijini Dar es salaam ambapo jumla ya mawakili 2888 wa jinsia tofauti wameapokelewa rasmi kwenye kazi
Mdau Allan Maduhu akiwa na mai waifuw wake, Janet, pamoja na mama mkwe wake Judge Fedrica W. Mgaya katika sherehe hio ya kuapishwa kuwa wakili leo.

 Zuletha Fundi akijidai na wazazi wake Da'Sauda na Seif Fundi baada ya k,upata uwakili
 Kina Matinyi nao ndani ya nyumba 
Familia za Fundi na Shamte wakifurahi  kwa pamoja leo.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HONGERENI SAANA....ILA INABIDI WENGINE MHAMIE MIKOANI, MAWAKILI WAPO WENGI SANA HAPA MJINI

    ReplyDelete
  2. Hongereeni wote kwa sana.Halafu hiyo picha ya kati 'Da Zule'umefanya vizuri sana kuwaalika wazazi wako.Picha "simpo","nachuroo".Najua umewakumbuka walivyokuwa wanaangaika kukutafutia karo ya shule.Usiwasahau hao.

    David V

    ReplyDelete
  3. Hongera sana wote mliopata uwakili. Hamna haja ya kuhamia mikoani kwani hapa mjini kesi nazo ni nyingi sana, hivyo kila mmoja wenu atapata kazi tu.

    ReplyDelete
  4. Hongera Melinda!

    ReplyDelete
  5. I'm very proud of my sister congratulations...ur truly lovely with all ma heart sis L newyork,NY.congrats all of ya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...