Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati kuu ya Halmashuri kuu ya CCM kilichofanyika ikulu jijini Dar es Salaam Jumatatu hii. Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NAOMBA NISAIDIWE KWANINI KIKAO CHA CHAMA KIFANYIKE KTK OFISI YA SERIKALI BADALA YA OFISI YA CHAMA HAYA SIO MATUMIZI MABAYA YA OFISI YA UMMA?

    ReplyDelete
  2. HILO NALO NENO

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...