Rais Jakaya Kikwete akitoa salamu kwa wanachama wa Jumuiya ya Istqaama ya Tanzania,Tawi la Dare s Salaam mara baada ya kushiriki katika futari iliyoandaliwa na jumuiya hiyo Dar es Salaam jana.Jumuiya hiyo, pamoja na mambo mengine inajishughulisha na malezi ya watoto yatima pamoja na kutoa elimu kwa watoto waishio katika mazingira magumu. Picha na mdau Freddy Maro wa ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...