Rais Jakaya Kikwete akiwasalimia, Khamis Abdallah na mwenzake Mohamed Othman Omari ambao ni walemavu wa viungo muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Rais Jakaya Kikwete akiongea na walemavu, Mohamed Othman Omari na Khamis Said Abdallah, muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba leo jioni Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...