![]() |
| Edward Joseph Magongo (1977 – 1992) |
Ilikuwa siku, wiki, mwezi na leo tarehe 24/08/2011 ni miaka kumi na tisa tangu ututoke na kurejea kwenye makazi ya usalama.
Tulikupenda sana ila Mungu alikupenda zaidi.
Unakumbukwa sana na wazazi wako Joseph na Clementina Magongo, Dada, kaka, wadogo zako, mashemeji, wajomba, ndugu jamaa na marafiki.



Amen
ReplyDeleteUlitutoka ukiwa mdogo lakini Mungu alikupenda zaidi uncle. P.s. Greetings uncle Richard.
ReplyDelete