Chameleon Jaffar Gaddafi with with wife Daniella on wedding day in 2008
Troubled star singer Jose Chameleone Jaffar Gaddafi has broken his silence, 98hrs after converting to Islamic faith. In a breathtaking interview with Red Pepper at his home in Seguku, Entebbe Road, the sensation singer said that  he greatly regrets his conversion to Islam.


"I was only supposed to attend Juma prayers and that's all. At least Daniella was even aware of this. But I was misguided misled and misled by the attention I received when I got the mosque.


I ended up reciting the Shahad, a prayer that converts someone to Islam," he said with misery written all over his face. He insisted he will sit down his family to try reaching a common ground.


"I still love Daniella and I aren't divorcing yet. I can't go forward without Daniella," the renowned singer said. Snoops decided to raid his home after numerous failed calls. He blatantly refused to pick all the calls but what also surprised snoops was that he had changed his caller tune to Judith Babirye's Mukama Wanjagala.


Chameleone said he was ready to do anything for his family and music career. He revealed that he was under pressure from his dad who said he had nothing to do with Jaffar Gadaffi. "My dad only want to talk to me only when I'm Joseph Mayanja,"
Chameleon converting to Islam
"I know the whole thing didn't go out well with Daniella after the Friday debacle. But we are still in love and planning to move on together."

Daniella Atim, the wife of singer Jose Chameleone, has ordered him to leave their marital home in Seguku and is consulting lawyers to file for divorce.


Daniella's order follows Chameleone's conversion from Catholicism to Islam last Friday at a high priofile function at Kibuli mosque that was witnessed by Prince Kassim Nakibinge, the godfather of the Kibuli faction.


A distraught Daniella told Red Pepper last night that she was kicking Chameleone  out of their Shs 500m home in Seguku on Entebbe Road. The storied house has a recording studio worth Shs 100m and a big compound. The two have been married since 2008 and have two children Alfa and Abba.


Daniella also said she is talking to prominent divorce lawyers in town to explore a possibility of filing for divorce. A change fo religion by one of the partners is a powerful ground for divorce: Daniella would push 50:50 split of the couples assets and Chameleone's future earnings.


Chameleone owns  Coco Beach on the shores of L.Victoria, estimated at shs 800m, a cadillac Escalade worth about Shs 200m, a super custom (Shs28m), a convertible BMW(Shs40m), a premio(Shs8m), an Ipsum (Shs14m), a landcruiser VX(sHS 120M), among others.


He is said to own an apartment in Arizona, USA and posh house in Kigali, Rwanda. He is the majority shareholder in the Leone Island, a music company.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. BLOODY KUKU HEBU MASUPA STAR WETU WA BONGO FLEVA NAO TUTAJIE MALI ZAO,TUONE KAMA MUHESHIWA SUGU YUKO SAWA.

    ReplyDelete
  2. What happened? I real don't understand, let his wife secure a divorce, this wil wake up his mind, i know is because of ganja

    ReplyDelete
  3. Unaona sasa Chameleon nilikushauri usibadili dini itakuletea matatizo...haya Mkeo anataka muachane...itabidi ufanye mchakato urudi kwa dini yako tena..ila tayari ushapoteza imani kwa mkeo zaidi..licha ya nduguzo wengine. Pole sana, na wewe Daniella usichukulie hasira, kaa muelewane na mumeo! You guys are so young, God does not want you to divorce because you are giving the devil an opportunity to rule your life, not only that but also are offering him a chance to laugh at u both, in addition you are defiling yourselves and sinning against God, because, by divorcing you are making each other commit adultery. God will not forgive you for this sin. Matthew 5:32

    ReplyDelete
  4. Ngoja akione cha moto. Yeye alikurupuka sana. Hata kubadili dini basi iwe makubaliano na mwenzio ili kama inawezekana wote mbadili dini. Haya sasa mwenzie amemgeuka. Hapo patamu!

    ReplyDelete
  5. huyu kijana mbona tajiri hivyo , vijana wa bongo fleva vipi mpo hapo?
    wasanii wetu wa bongo tunawazarau kumbe music unalipa hiyo !ngoja na mimi nianzishe bend yangu ya music !
    mdau temeke

    ReplyDelete
  6. katika kadhia hii nimejifunza mambo mawili:
    1- wanamuziki wa uganda wanafanya vizuri sana kiuchumi. mbali na chemeleone wengine wenye utajiri mkubwa ni bobby wine, raga dee, angela katatumba na bebe cool. hapa kwetu bongo wanadanganywa na fiesta pamoja na kuperfom billicanas, sunciro na maisha kwa kupewa laki 1. haya siyo maisha. wasanii wa uganda wanajithamini sana! msanii kupiga club angenoir, silk au sheraton etc analipwa siyo chini ya 1 mn ya tanzania. imezoeleka hivyo!

    wasanii wetu wakiwa na safari za nje wanaona ni bora waende nje ili magazeti yaandike kuwa fulani kenda norway, ufaransa etc. wmwezi uliopita chemeleone alisafiri kwenda ulaya kwa wiki 3. alimake sawa na tshs milioni 270. diamond alikua ulaya. sidhani kama alifikisha mil 20!

    nampongeza jaydee. ni jaydee pekee ambae anatupa matumaini kama mfano wa kuigwa.

    2- kuhusu dini chameleone amekosea sana. kosa lake ni kubadili dini bila kujiandaa. yeye alikwenda kusilimu pale msikitini. asidanganye kuwa alikurupusha. alikwenda na wasanii wengine wawili ambao ni waislamu. angefaa kumshauri mkewe ili kama watabadili wabadili wote au kila mtu awe na dini yake.

    mimi ni muislamu. chemeleone akiingia ktk uislamu ni sawa na kama anaudhihaki uislamu kwetu sisi waislamu hatujapendezwa na jambo hili. waislamu wa uganda watapandwa na hasira kwa kuwachechezea kama watoto wadogo. anaweza kuombewa dua mbaya ya kumdhuru! (hii ni kwa mujibu wa imani yangu)

    ReplyDelete
  7. Bismillah
    Uislam sio mtego wa panya
    Watu wabadili dini kutoka ukristo kuja kwenye uislam na pia watu wabadili dini kutoka uislam kuwa ukristo.Yote ni moyo wa mtu na imani ya mtu. Usisahau kuwa dini zote hizo zamuamini Mungu mmoja. Kwa maoni yangu kijana ana uhuru wa kurudi kwenye dini yake na Mwenyezi Mungu amzidishie na namuombea kila la kheri
    Ramadhan karim

    ReplyDelete
  8. Brand new Cadillac Escallade ya 2011 inauzwa Dola 63,445 hapa Marekani. Hiyo ni sawa na Tshs 101,528,000 kwa rate ya leo. Cadillac ya Josee Chamillion ni used nimeiona live nikiwa Uganda, ni model ya zamani hapa marekani inauzwa dola 15,000 tu(Tshs 24,000),sasa hiyo Millioni 200 sijui inatoka wapi jamani.Hata VX yake sio ya 120 Million.

    ReplyDelete
  9. RUDI KWENYE DINI YAKO YA UKWELI, HAHAHAA ETI KARIBU KWENYE DINI YA KWELI..NJOO TULE KITI MOTOOOOOO!

    ReplyDelete
  10. Ni kwamba Uganda wana promotion nzuri na wananunua mziki wao. Vile vile wanapenda vionjo vyao zaidi (ile midundo ya kachu kachu, kachu kachu...!) hiyo midundo imapenda across all ages, hata mzee mwenyewe museveni wa mapembe anapenda. Wa kwetu bongo fleva wanataka wawe wamarekani!! Ndio maana hawafiki mbali wanataka wawe wamarekani na siku hizi kila mtu ni kubana pua. Hela yake imetoka hapo hapo si soko la kimataifa

    ReplyDelete
  11. RUDI BABA RUDI, KITIMOTO NI KITAMU SANA, MAISHA BILA KITIMOTO HAYAWEZEKANI

    ReplyDelete
  12. Anon wa Thu Aug 18, 09:18:00 PM 2011 nadhani wanazungumzia Ugandan shs..Anon wa Thu Aug 18, 09:18:00 PM 2011 nadhani wanazungumzia Ugandan shs..

    ReplyDelete
  13. salaam, nothing to regret. you entered to the truth Gods way to haven, why should you worry. wife you will get one beaut than that Dani...the problem am seen it this 50:50, i hate it but you are sure you made that 100 with her, then fine, release her 50 and cont to kick with your 50 and am telling you are going to make more and easier than you can think because you will be lead by God for been punished without a mistake. THINK TWICE...YOUR DECISION WAS RIGHT...KEEP IT UP AND PLEASE PRACTICE ISLAM, YOU WILL ENJOY THAN EVER...otherwise you will be cheating Islam and you will be punished if you will return to where you were before (christian)

    ReplyDelete
  14. wewe mdau wa marekani acha roho ya korosho, kujifanya unatupa thamani ya magari , naauakika uko uliko hata corola second hand huna!LOL cadilac iwe mpiya au ya zamani kwa africa iyo ni mpiya tu! plus kwa yeye jamaa inaonesha ana huakika na kazi yake na inampa kula siyo njaa!
    wabongo wana kalia usharobaro wanazani kuvaa kitozi ndo maendeleo. wanashinda bar na ma club huasherati tu ndo wanajua! bwana camilioni nazani kuna watu wenywe roho baya wana mfanyia mazingaubew ndo Uafrica mtu akipata tu kidogo mna mchezea akili! mimi nazani jamaa kuwa mslamu au mkristo akuna tatizo ni ajenge imani yake tu atakuwa poa !pole sana kaka!
    Mdau temeke
    michuzi juu juu zaidi

    ReplyDelete
  15. Labda mimi nisiyejua dunia inakwendaje. Naomba mnifahamishe wenzangu hasa mlio Marekani au Ulaya. How can you own an apartment and you are living in different country let alone different continent? Kwa hiyo huyu jamaa analipia apt huko AZ kila mwezi na wakati haishi humo angalau mwezi mmoja. Give me a break.

    ReplyDelete
  16. mdau unaeulizia kama jamaa ana nyumba AZ anawezaje kulipia na wakati hakai huko jibu ni kwamba kuwa na nyumba nje ya nchi haimaanishi kuwa lazima uikae inawezekana kaipangisha hata mimi hapa nipo ulaya na nimenunua nyumba na sasa nakaa nyumba ya kupanga na nyumba yangu nimepngisha na siku yeyote nikirudi huko bongo nyumba yangu ya ulaya nitaendelea kula kodi na siku nikiamua nitauza.

    ReplyDelete
  17. You can own an apartment kwa namna hii, yes, unanunua and anakaa dunia nyingine. Its possible. unapangisha au ukitaka unafunga tu. hakuna tofauti na kumiliki nyumba dar wakati unaishi Moshi.

    ReplyDelete
  18. Camelion uende uislamuni au ubaki kwenye ukristo ni wewe mwenyewe. Una uhuru wa kufanya utakavyo. Mimi sijaona kitu kipya kwenye uislamu wala ukristo. Sanasana walio wengi katika hizo dini ni wanafiki wakubwa lakini ukiwaona kwenye nyumba za ibada utafikiri ni watakatifu. Mungu ndiye atakayejua ni yupi alitimiza yale aliyoamrisha na wala si mambo ya kutafuta umaarufu hapa duniani.

    ReplyDelete
  19. Kwa hao wachangiaji kuwa maisha bila kiti moto sio maisha!

    1. Sio wakristo wote wanakula Kitimoto
    2. Kiti moto sio kipimo cha ukristo; kwani takwimu zinaonyesha kwamba kinaliwa zaidi na wasiokuwa wakristo kuliko wakristo.

    Binafsi siamini kama maisha bila ya kitimoto hayawezekani; hizo ni kauli za watu kupumbazana kwenye kustawisha baraza

    ReplyDelete
  20. Kwa mazungumzo hayo hapo juu... Ina maana Msanii mwenye fweza pita wote E Africa ni Albino Fulani? Yeye anasukuma Lexus na Cadillac CT.... Kweli wananii wetu wamechoka!!!!!

    ReplyDelete
  21. Huyu asitake kuongopa eti mkewe kamzuia hiyo ni janja yake tu. Alivamia PORI kwa kiwembe kwani SWAUMU ama SAUMU si mchezo. Baada ya kuingia na kucheza amejua ukweli sasa anatafuta pa kutokea, na tayari amaisharudi katika UKRISTU (kufuatana na magazeti ya jana ya Uganda), na visingizio kibao.Halafu anachekesha eti aliongozwa kusoma swala la kubadili dini bila kujua!!?. Ndiyo maana anaitwa kinyonga ana msimamo.

    Lakini pia nimesikitika na maoni ya mdau kuwa anaweza somewa dua mbaya akadhurika why? Je na wakristu wakiamua kumsomea ama kumfanyia kitu mbaya alipoondoka hiyo dini ingempata? (Just thinking loudly)

    Observer

    ReplyDelete
  22. mimi nilikataa kabisa mambo ya kubadilisha dini... hata kwenye usichana wangu nilikuwa na mpenzi wa kiislamu ambae nilimpenda sana lakini niliiweka wazi kuwa dini sibadilishi, nilimkatalia kabisa manake kama hutaki kunioa kama nilivyo bwana basi... akaleta za kuleta mi nikajua huyu si mwoaji, nikakaa sana baada ya miaka karibu 5 nikapata mwenzangu ambae ndio nimefunga nae pingu za maisha tuko fiti kabisa, hanisumbui, tunafanya mambo yote pamoja mpaka naona ama kweli mungu aliniepusha.

    ReplyDelete
  23. Jamaa anatia huruma, inaonekana kweli kashitukizwa katika hii picha. Mungu amsaidie and i like the stand ya mke wake. Kumbe wanaume hawako stable atttiiiii

    ReplyDelete
  24. Mambo ya dini ni magumu sana....Nilichokipata Mimi kwa hii story ni kuwa Kweli Mh SUGU yupo sahii.... Hata Kama hizo Mali ni USED na hayo magari Mbona wasanii wetu hata wenye majina makubwa wanahangaika sana? Wanaishia Fiesta na college bash na nguo! Muangalieni Dada yetu JIDE haangaikii hayo sijui majotro but yupo sawa sawa...... Amkeni nyie bongo fleva Andamaneni siku moja mpaka kwa Dingi mkamueleze ukweli Sio kuishia kupiga nae picha na kukenua meno

    ReplyDelete
  25. Jaman kuna mtu hapo kasema mungu ni mmoja. Naomba nimshauri asome Exodus 8:10, Deuteronomy 4:35, Isaiah 44:6 na nyingine nyingi. Mungu anaye tajwa kwenye biblia ni mmoja tu. Naomba ileweke!

    ReplyDelete
  26. pia sio vizuri kubadili dini kwa sababu ya mwanamke..? unaweka kwenye mizani YESU NA MWANAMKE..??

    ReplyDelete
  27. Huyo Chameleon alifikiri kusilimu ni mchezo? Kwanza anamuogopa mkewe kuliko Mola aliyemuumba, pili anathamini mali kuliko Mola aliyempa hiyo mali, Mola ambaye anaweza kumfanya akaamka asubuhi masikini hana mbele wala nyuma kwani rizki zote zinatoka kwake na ni yeye humpa amtakae na kumnyima amtakae.

    Na wewe uliyesema eti ataombewa dua mbaya kwa lipi hasa au kwa kosa lipi? Inaelekea hufahamu kuwa Allah alishasema kwenye Quran hamlazimishi mtu kuingia kwenye dini yake. Na huyo Chameleoni hajalazimishwa na mtu ili ni udhaifu wa imani yake kwa kifupi ni kuwa Mwenyezi mungu amemuumbua ametuonesha kile kilichomo ndani ya nafsi yake. Iliyobaki ni kumuombea Mungu amuongoze katika njia iliyonyooka na si kumuombea madua mabaya.

    ReplyDelete
  28. I think Brother Chameleoni you did rite to be Muslim, That is your own decision and no one should blame you. Suppose you wife was the one to convert to Islam. Ungefanya nini coz nini naona unataka kurudi katika cristian kwa sababu ya mke na sio imani yako that is 100% wrong my Brother. Hata mungu hatokubali ibada yako kwa sababu ya kumuogopa mkeo labda huyo muungu wa Catholic. Shame on you men if you turn back coz of wife or wealth those two sing will put you to the hell

    ReplyDelete
  29. Dini zimejaa unafiki tu. Siku ya mwisho ingekuwa tunajumuika wote mngeona jinsi ambavyo watu wengi wangeachwa. Wengine wanajidai viongozi walioshika dini saaaana halafu wanawalawiti wanafunzi wa dini zao. Halafu anatumia kivuli cha dini kuficha uchafu wake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...