Je umekuwa ukisumbuliwa na matatizo ya afya bila kujua wapi pa kuuliza? je umekuwa na mada ambazo ungependa kugawana na Watanzania wenzako bila kujua jukwaa la kuzimwaga? Pia, je umekuwa ukitafuta wapi pa kupata taarifa juu ya maduka ya dawa,mahospitali nk? TanzMED tumekusikia. Timu nzima ya TanzMED inakuletea Forum ya Afya ambayo itawawezesha wanajamii kujadiliana masuala mbalimbali ya Afya.
TanzMED Forums ni sehemu pekee ambayo inawakutanisha wanajamii na madaktari wa kitanzania,hivyo ule wigo haupo tena.


Unasubiri nini? Jisajiri na kuanza kufurahia ujio wa TanzMED Forumsndani ya TanzMED.com

TanzmED Forums - Afya njema ni haki yako

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii imekaaje? mbona haieleweki?

    ReplyDelete
  2. JISAJIRI ndio lugha gani jamani. Tunashindwa na wakenya kwa fasaha ya lugha ya kiswahili. Waandishi wetu wa habari are the worst, tena wala hawajali kila siku wanazungumzia leli. Tuache kuzungumza lugha zetu za kienyeji katika mtandao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...