Mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Said Mwema akiteta jambo na mhariri wa picha wa gazeti la Jambo leo,Richard Mwaikenda hivi karibuni wakati wa uzinduzi wa kitii sheria bila kushurutishwa uliofanyika makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya nje.
Home
Unlabelled
kamanda wa matukio akiwa na kamanda mwenzake jeshi la polisi nchini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...