Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama,Mh. Edward Lowassa (MB) (katikati kulia) akiwa katika kikao cha pamoja na Wabunge wa Bunge la India wanaoongozwa na Spika wa Bunge lao,Mh. Meira Kumar (katikati kushoto) wakati walipohudhuria kikao cha Bunge la India ikiwa ni sehemu ya ziara Kamati hiyo nchini huo.Kamati hiyo ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ilitembelea nchi za Malaysia,Singapore.
Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje,Ulinzi na Usalama ikiongozwa na Mh. Edward Lowassa (katikati) ikiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la India,Mh. Lok Sabhan mara baada ya mkutano wao uliofanyika mjini New Delhi,India jana.
Ankol, samahani kidogo, hapa umeandika spika wa bunge la India anaitwa Lok Sabha, sio sahihi. Yeye anaitwa Meira Kumar isipokua bunge la India linaitwa Lok Sabha kwa maana ya "Kamati ya Watu wa Kawaida"..
ReplyDelete