Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Idara ya Michezo kwenye banda la Wizara yake katika maonyesho ya nanenane yanayoendelea mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Seth Kamuhanda akisoma masharti ya usajili wa magazeti wakati alipotembelea Idara ya Habari kwenye banda la Wizara yake katika maonyesho ya nanenane yanayoendelea mjini Dodoma.
Afisa Habari kutoka Idara ya Habari (MAELEZO) Veronica Kazimoto akiwaeleza wananchi majukumu ya Idara ya Habari (MAELEZO) walipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo kwenye maonyesho ya wakulima ya nannenane mjini Dodoma.
Afisa Habari kutoka Kitengo cha Habari , Elimu na Mawasiliano Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Concilia Nyabitanga akiwaeleza wananchi majukumu mbalimbali ya Idara zilizopo katika Wizara hiyo wakati walipotembelea banda hilo kwenye maonyesho ya wakulima ya nannenane mjini Dodoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...