Banda la wanahabari wa TBC1 bungeni Dodoma leo |
Mpiga picha wa TBC1 Humphrey Mwesigwa akiwa kazini ndani ya ukumbi wa Bunge
Most read Swahili blog on earth
Banda la wanahabari wa TBC1 bungeni Dodoma leo |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona wako kwenye hema tena?!!,
ReplyDeleteHaya ni mazingira magumu ya kufanyia kazi. offisi za bunge zinatakiwa kuwa na chumba cha Audio na Video production. Hakuna sababu ya waheshimiwa kuwa na viti vizuri, soundsystem kali, lakini chumba cha habari hakuna. haikubaliki kusema ukweli.
Habari ni nguzo muhimu katika utawala wa kileo.
Mtoa maoni umeongea point kabisa. Nilipata Fursa ya kutembelea ukumbi wa bunge la Scotland mjini Edinburgh, Camera zote zimekuwa fixed katika ukumbi, na kazi ya chumba cha habari ni kuchagua picha za kamera gani ziende hewani at particular time. Pia ku-zoom muongeaji from selected Camera. Haihitaji kuwa katika nchi iliyoendelea kujua hayo. mambo ya mpiga picha kuchungulia na kufuata watu yamepitwa na wakati, una-switch to next camera tu. Ila ndiyo hivyo tena bado tunafanya kazi ki-stone age
ReplyDeleteNdugu Humphray, camera ya namna hiyo ni hatari kwa afya yako...tuombe Mungu usipate cansa ya taya au jicho.....Labda uwe unaitumia kwa muda mfupi tu . Nimeisha ona kama wanne hivi wenye kutumia camera ya kubeba begani walipata matatizo hayo.
ReplyDeletewewe uliyechangia hapo juu! umechunguz vizuri hiyo camera? sio ya kubeba begani ...... HEBU ANGALIA VIZURI NDIPO U COMENT!
ReplyDeleteMimi nimetahadhalisha tu. ila kwa hiyo position , taya na jicho ndivyo nilivyohofia.
ReplyDeleteIla nafikiri yeye akisoma hii ataelewa. Ndugu hebu chaki tena akiigeuza tu ni bagani. Vijana kama hawa hatutaki wapate shida.
Wewe unayesema "hebu angalia vizuri" naona humtakii mema mwenzako. Basi kwa taarifa , kamera za namna hii zinaleta cansa ya taya na jicho..nami namsapoti aliyetoa tahdhali. Hapo ni mionzi mitupu.
ReplyDeleteTena unapaswa kutumia lugha ya binadamu. Mwenzio hakufanya vibaya kujuza hivyo. hiyo statement yako sijaipenda.