Waheshimiwa katika siku ya mwisho wa kikao cha bajeti 2011/12
 Waheshimiwa kikaoni
 Waheshimiwa wakijadili haya na yale
 Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akisoma hotuba ya kuahirisha bunge la bajeti
 Waheshimiwa bungeni
 Spika Anne Makinda akiahirisha rasmi kikao cha bajeti
 Spika Anne Makinda akitoka ukumbini baada ya kuahirisha kikao
 Waheshimiwa wakipozi mara baada ya kikao kuahirishwa
 Mheshimiwa akiwa amesomba makabrasha yake
 Mbunge wa Tabora Mh Ismail Aden Rage akihojiwa na TBC baada ya kikao
 Waheshimiwa wakiagana baada ya kikao kuahirishwa
 Dkt Maua Daftari akijitayarisha kuondoka baada ya kikao kuahirishwa
 Waheshimiwa wakiwa nje ya ukumbi baada ya kikao kuahirishwa
 Ankal na wadau baada ya kikao kuahirishwa
 Wanahabari wakituma taarifa baada ya kikao kuahirishwa
dau Alvar Mwakyusa wa Daily News akirusha habari za mwisho mwisho
Ankal akipozi na Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na Mkewe Mama Tunu Pinda na mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mh Mbowe siyo utani umependeza kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...