Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh! hii exchange ya leo kweli ni ya kutoka Dodoma. Dar euro innunuliwa kwa 2200-2300 euro. Dodoma ni 1900..mmmmh? napita tu.

    ReplyDelete
  2. hivi hii style ya kubaili hela kwa mafungu nani kaianzisha eti dloa moja tano kumi ina bei yako halafu hapo nayeneyewe pound imeanzishiwa bei kweli bongo tambarare

    ReplyDelete
  3. Hii ngoma ibaki hivi hivi maana natarajia kushuka hapo Minazi Mirefu within two weeks from today!
    Mdau Kwa OBAMA alipozaliwa Bush-Texas

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...