Assalam alaykum,
Hebu funguweni hiyo website: http://tanzil.info/ . Upande wa mkono wa kushoto kuna wasomaji wa Qurani wote maarufu, juzuu zote 30, sura zote pamoja na chaguo la tafsiri ya lugha unayoitaka unaweza kusikiliza au kusoma tafsiri yake, baada ya chaguo lako la lugha unayoitaka iguse aya yoyote na utaona tafsiri yake.
Tafadhali tuma kwa wengine kwa faida ya umma wa kiislam. Alla amlipe kheri kila anayefanya jitihada katika dini.
Amin.
Amin.
Michuzi,
ReplyDeleteI believe this is not the beginning a religion promotion agenda from this blog we love and trust for accurate information and entertainment. I hope you will prove me wrong soon.
MaashAllah,link uliyotoa ni nzuri sana na inasaidia sana kwa kuweza kudurusu Al Quran karim,ahsante sana Mola akuzidishie ulietoa hiyo link na mwenye blog kwa kuirusha hewani .akhsante.
ReplyDeletei think the post is relevant as this blog is also read by believers. it does not matter what religion you affiliate to religious material are important. even if you are christian reading about islam may make you better follower of your religion. only arrogant and ignorant people will shy away from good literature.
ReplyDelete