Hi, Ankal
Pole kwa shughuli nyingi zinazokukabili kuendeleza libeneke hili la blog ya jamii kiukweli umekuwa unafanya kazi kubwa kuihabalisha jamii juu ya mambo mbalimbali yanayoendela hapa nchi na nje ya nchi, hongera sana!
Ili kuendeleza libeneke nami nimeanzisha blog inayohusiana na mambo ya michezo hususani soka ambapo ukiingia humu utapata habari mbalimbali zihusuzo michezo ndani na nje ya nchi, hivyo nilikuwa naona uirushe japo wadau nao wapate kutembelea.
Hilo ndilo jina la blog yenyewe
Beki 3 watu wengi wana-associate na house girls ingawa ni position muhimu katika listi ya timu ya mpira wa miguu.
ReplyDeleteBLOG NYINGI ZA TANZANIA ZINAZOPOST MICHEZO HAZIPO UP TO DATE, KWA HIYO JITAHIDI KATIKA HILO USISUBIRI HABARI ZA JANA UNAZIWEKA LEO UTTUKIMBIZA KAKA.
ReplyDelete