Harambee ya Marehemu Kidee Leo J'2
Address ya Bank
13976 Jefferson Davis HWY
Woodbridge,MD,22191
Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe
Kidee Bendera Tazanu Enzi ya uhai wake
Watanzania wenzangu DMV tunaombwa tujitokeze kwa wingi leo Jumapili Aug 14,2011 saa 10 jioni(4pm) kwenye Harambee ya kujaribu kusaidia kuusafirisha mwili wa Dada,Rafiki na Mtanzania mwenzetu Mpendwa,Kidee Bendera Tazanu nyumbani Tanzania.Harambee itafanyikia
1801 Perrell Lane
Bowie,MD,20716
Tunatangulisha shukrani kwani kufika kwako ndio mafanikisho ya harambee hii.
Pia tunaomba michango yenu ya hali na mali kupitia
Joyce Mshana Collins
Bank of America
A/C # 435027268759
Routing # 051000017
Regular checking - walk inn
435027271087
A/C # 435027268759
Routing # 051000017
Regular checking - walk inn
435027271087
Address ya Bank
13976 Jefferson Davis HWY
Woodbridge,MD,22191
Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe



Rest in peace Kidee.Utakumbukwa na wana Mtaa wa Mtwara Crescent Oysterbay
ReplyDelete