Harambee ya Marehemu Kidee Leo J'2
Kidee Bendera Tazanu Enzi ya uhai wake
Watanzania wenzangu DMV tunaombwa tujitokeze kwa wingi leo Jumapili Aug 14,2011 saa 10 jioni(4pm) kwenye Harambee ya kujaribu kusaidia kuusafirisha mwili wa Dada,Rafiki na Mtanzania mwenzetu Mpendwa,Kidee Bendera Tazanu nyumbani Tanzania.

Harambee itafanyikia
1801 Perrell Lane
Bowie,MD,20716
Tunatangulisha shukrani kwani kufika kwako ndio mafanikisho ya harambee hii.

Pia tunaomba michango yenu ya hali na mali  kupitia
Joyce Mshana Collins
Bank of America
A/C # 435027268759
Routing # 051000017
Regular checking - walk inn
435027271087


Address ya Bank
13976 Jefferson Davis HWY
Woodbridge,MD,22191


Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Rest in peace Kidee.Utakumbukwa na wana Mtaa wa Mtwara Crescent Oysterbay

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...