HARAMBEE JUMAMOSI AUG 20,2011
KAMA UNAKITU CHOCHOTE UNAFIKIRI KITASAIDIA KATIKA KUFANIKISHA ZOEZI HILI TAFADHALI TUNAOMBA UJE NACHO MSIBA HUU NI WETU SOTE NA LENGO NI KUFANIKISHA NA KUMUWEZESHA NDUGU YETU MPENDWA AKAPUMZIKE KWA AMANI KWENYE NYUMBA YAKE YA MILELE.
ADDRESS YA HARAMBEE NI
5310 62nd AVENUE,
RIVERDALE,MD,20737
PIA UNAWEZA TUMA RAMBIRAMBI ZAKO KUPITIA MKE WA MAREHEMU BARTLET KAMNA . ACCOUNT NO. 446023179268: Routing # 052001633 Bank of America.
KWA MAELEZO NA MAELEKEZO,
SIMU 301 547 3841
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU PEMA PEPONI,AMINA.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...