Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011,  wakicheza na wanafunzi wa shule ya Sekondari Wasichana ya Enyorrate E.Ngai inayoendeshwa na Masista iliyopo Monduli Juu mkoani Arusha juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo
 Ngoma ya Kimasai imenoga

Warembo wanaoshiriki la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakikabidhi msaada wa chakula kwa mlemavu, Nanyakwa Olumindi, anae Hudumiwa katika Kituo cha Huduma ya Walemavu Monduli juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kufanya shughuli za kijamii
 Warembo wanaoshiriki la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakimpa ndizi mlemavu, Melkiori Mamasita, anae Hudumiwa katika Kituo cha Huduma ya Walemavu Monduli juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo na kufanya shughuli za kijamii
 Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakisalimiana na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Erikisongo iliyopo Wilayani Monduli juzi.
 Baadhi ya warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakipiga picha katika kibao cha Shule ya Wasichana Maasae iliyopo Wilayani Monduli baada ya kutembelea shule hiyo juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo
 Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiangalia wanyama wakati warembo hao 30 walipotembelea Hifadhi ya Bonde la Ngorongoro juzi kujionea maajabu mbalimbalimbali yaliyomo katika hifadhi hiyo. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo.
Warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufika katika lango kuu la kuingilia hifadhi ya Bonde la Ngorongoro juzi. Warembo wa Vodacom Miss Tanzania wapo Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio mbalimbali vya Utalii vilivyopo katika mikoa hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. WAREMBO WETU MKO BOMBA WAJAMENI, NAOMBA AMBAYE HANA MTU HAPO TUWASILIANE...NIKO UGHAIBUNI NAPIGA BOX!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...