MAENDELEO YA MSIBA,DC.
HARAMBEE KUENDELEA LEO JUMAPILI
Macrina Samaka enzi ya uhai wake
Watanzania wenzangu,DMV,Harambee ya Macrina Samaka itaendelea Leo Jumapili Aug 7,2011 Saa 9 alasili(3pm)
Harambee iliyofanyika Jumamosi ya Aug 6,2011 pesa zilizopatikana ni $2,532/= bado tunasafari ndefu,tunashukuru wale wote waliofika jumamosi na kujaribu kusaidia kurudisha mwili wa marehemu Macrina Samaka nyumbani Tanzania.
Gharama zilizobakia ni $ 6,468 bado tunaomba msaada wako na muonee huruma Macrina angalia mwili wake unavyoteseka na baridi kali ya funeral Home anahitaji msaada wako ili akapumzike kwenye nyumba yake ya milele,najua tunaweza kama Watanzania wenye upendo na Mtanzania mwenzetu,mshikamano na moyo wa huruma,chohote ulichokua nacho kitasaidia hata kama una Khanga au chochote kile kwa ajili ya Harambee,tunaomba utuletee ili kinadiwe.
Kifo hakina mmoja leo Macrina,kesho ni mimi na wewe.
Address ya msiba ni
4303 FRANKFORT DR,
ROCKVILLE,MD,20853
TUNAOMBA WENYEVITI WA JUMUIA ZA WATANZANIA ZILIOPO NJE YA DMV,WASAIDIE KUTOA TAARIFA HII KWA WANAJUMUIA KWENYE STATE ZAO,MICHANGO INAWEZA KUPITIA Routing #055003201-A/C #1010323780193-WACHOVIA BANK-Arthur Gao/Memorial Funds a/c for Macrina Samaka.
kwa mawasiliano na maelekezo
Afisa Ubalozi,Abass Misana-202 378 8066
Rasheed Mkakile-240 938 3177
Arthur Gao-240 408 1422
Magrette Wahida-301 915 5821
Dj Luke Joe-301 661 6696
Malecela(New York)-914 473 1033
Boston(MA)
Juliana-413 330 3891
Abela- 781 913 2107
Suzie-617 306 1645
Houston,TX
Georges Assenga-713 894 9403
Wichita,KS
Erick Tagalile
316 993 0843
Bruce Bond-301 254 2806
MWENYEZI MUNGU AMETOA,MWENYEZI MUNGU AMETWA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE,
AMIN


Samahani sina nia mbaya ila najaribu kusaidia mawazo. Mimi nimesoma na Macrina anafikiri chuo kikuu maana nilipoona picha yake nilimkumbuka vizuri sana. Nipo hapa US pia na najua haya mambo ni yetu sote na ni vizuri kusaidiana. Swali langu ni kwamba kwa jinsi ya uelewa wangu mdogo juu ya marehemu ni kwamba alikuwa nafanya kazi shirika zuri tu kulinganisha na wengine hapa US. sasa je mmeweza kuangalia kwamba alikuwa na Life insurance au la? Inawezekana kwamba kazini kwake wakawasaidia kufuatilia hilo? manake najua kaka mmoja mkenya alikufa hukuhuku US siku za karibuni na life insurance yake ili iweze kupatikana na akapelekwa kwao bila shida. nasema hivi kwa sababu ni kweli tutachanga lakini inaweza ikachukua muda mrefu pesa kupatikana. Pia kama ana ndugu ambaye aliandikwa kama mrithi bank angeweza labda kuprocess hela zake ili pia zisaidie hata kama ni ubalozi uingilie kati kusaidia kuprocess hizo hela ili mradi iwezekane,. hayo ni mawazo yangu tu.
ReplyDeleteNaungana na aliotoa maoni hapo juu kuhusiana na insurance, maana siku zinakwenda na hakieleweki.Sasa huu msiba utachangiwa marekani nzima(MD,NY,TX,MA,KS nk) wakati ni wajibu wetu watu wa karibu kulimaliza hili,hasa watu wa DC na Maryland japokuwa ni wote tunahusika.
ReplyDeleteTujitahidi tulimalize na mungu atatusaidia litafanikiwa.
Natanguliza samahani kwa watakaoona nimeongea visivyo ila ni mawazo tu,maana wote tutapita njia hiyo.