Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dk. Albina Chuwa akitoa ufafanuzi   mjini Morogoro wakati wa mafunzo ya wiki moja ya wakufunzi wa Sensa ya majaribio inayotarajia kuanza Septemba 4 mwaka huu katika mikoa 11.
 Baadhi ya wakufunzi wa mafunzo ya Sensa ya majaribio wakifanya mazoezi kwa vitendo katika mitaa ya Kata ya Mji Mpya mjini Morogoro  ikiwa ni sehemu ya mafunzo kabla ya kuanza sensa hiyo litakaloanza Septemba 4 mwaka huu katika mikoa 11 ya Tanzania.

Mafunzo ya wiki moja ya uendeshaji wa sensa ya majaribio itakayoanza Septemba 4 mwaka huu.
                                           Picha na Tiganya Vincent, MOROGORO.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...