Ankal habari za majukumu?
Nimeulizwa swali na mwanangu nikawa sina jibu naomba wadau wanisaidie. Swali: Mke wa Rais huitwa First Lady, je mume wa Rais (yaani kama mke ndiye rais) huitwaje?
Mdau Alex
Mtoni Kijichi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
FIRST GENTLEMAN AU FIRST DUDE HAHAHA!
ReplyDeleteHUWA ANAITWA FIRST GENTLEMAN!
ReplyDeleteANAITWA FIRST GUY
ReplyDeleteanaitwa First Gentleman
ReplyDeleteFIRST LAD au FIRST FALA au FIRST MAN au FIRST GENTLEMAN
ReplyDeleteAnaitwa First Husband
ReplyDeleteAnaitwa "Husband of the President" au "Husband of the Prime Minister" (Google translator)
ReplyDeletemaneno yalianzishwa wakati wa mfumo dume kwa hiyo hawakutegemea mwanamke angekuwa rais. kutoka kwenye king na queen walisaha wamawake vile vile wanaweza kuwa marais
ReplyDeletemume wa rais anaitwa mtemi mirambo
ReplyDeleteAnaitwa First husband
ReplyDeleteanaitwa THE GUY OF YOUR MAJESTY MISS PRESIDENT! hahahahahaha
ReplyDeletehuwa anaitwa kichwa cha nyumba
ReplyDeleteAnaitwa DUME LA MBEGU.
ReplyDeleteHAHAHA!! kila mtu na jibu lake; UKIONA HIVYO HAKUNA JIBU SAHIHI-LOL
ReplyDeletehuwa anaitwa mume wa wananchi! kwa hiyo ikitokea nchi yako rais mwanamke wananchi wote mnakuwa kama mmeolewa na mumewe uwe mwanamke au mwanamme wote mmeolewa tu! kwa hiyo huyo anaitwa! MAN OF THE COUNTRY
ReplyDeleteKidume cha Bosi!
ReplyDeletejamani acheni utani, mtoto anataka kujua, tumsaidie huu si utani hata kidogo. Kwani yule rais wa Sierra Leon si ni mwanamke hajaolewa? wajuzi tujuzeni na wengine tuache upuuzi.
ReplyDeleteanaitwa MICHUZIIIIIII ahahhahahahah
ReplyDeleteAnaitwa second Lady
ReplyDeleteNafikiri kwakuwa siyo kawaida basi anaitwa LAST MAN.Degelavita, Bergen, Norway.
ReplyDeleteYaani Wabongo mna mambo yaani nimecheka mpaka kifua kinaniuma,,,EE kweli mna maneno sijui mnayatoa wapi,,,EE nikiwa na mawazo nafungua tu kwa michuzi ili nifurahi,,,
ReplyDelete