Wahitimu ya cheti, Shahada na Stashada ya Sayansi na Teknolojia wa Chuo Kikuu cha St. Joseph kinachosimamiwa na Kanisa Katoliki kupitia Shirika la Masista wa Maria Immaculata la India wakisubiri kutunukiwa jijini Dar es Salaam.(PICHA NA BLOGU YA MWENDA) Mhitimu wa shahada ya Kwanza ya Uhandisi wa Ujenzi, Lochiba Samike ambaye ni kaka wa mpiga picha maarufu mwanamke nchini, Leah Samike akiwa na mwanawe Loyce, mara baada ya kutunukiwa kwenye Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha St. Joseph, Kibamba, Dar es Salaam.Mgeni rasmi alikuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa. (PICHA NA BLOGU YA MWENDA) Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa (Katikati) akiwa mgeni rasmi mahafali ya tatu ya Chuo Kikuu cha St. Joseph, Kibamba, Dar es Salaam jana.(PICHA NA MDAU  MWENDA) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Picha ya Mwisho kulia kwa Rais Mtaafu Ben Mkapa ni Mhashamu Dr. Askofu Norber Mtega Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Songea ambaye alikuwa mwakilishi kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference) kutoka Catholic Secretariety Kurasini Center

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...