Mji wetu mkuu unaendelea kushamiri. Hivi karibuni pamefunguliwa ukumbi wa kisasa wa disko katikati ya mji uitwao Club Maisha ambao ni tawi la Club Maisha ya Oysterbay, Dar es salaam. Uwapo Dodoma na kukosa kutembelea kiota hiki utakuwa hujajitendea haki maana ukiingia ndani hutakuwa na tofauti na kuingia Club yoyote ile kwa jinsi ngoma zilizopangiliwa vilivyo zinavyorindima...
Home
Unlabelled
Maisha Club: kiota kipya cha maraha dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



KAKA MICHUZI NIMEPATA UMBEA USIONIHUSU MIE NIKO MOSHI KUNA MTU KAPIGIWA SIMU ETI GODBLESS LEMA AMEKAMATWA AKIIBA JAMANI NI KWELI?
ReplyDeleteHuu ukumbi uko sehemu gani hapo Dodoma?
ReplyDeleteSome serious competition at last! Asavali manake watu wengine ushamba mwingi, au sijui wanadhani Dodoma iko mbali sana na competition za Bongo... We utakuwaje na club yenye playlist moja tu mwaka mzima? Tena recorded sijui au sijui ndo uvivu wa kufikiri na kupangilia masuala kwa maDj? Halafu kiingilio inategemea mtu yuko kwenye mood gani siku hiyo. Kama kapigwa chini na shemeji basi utasikia 10,000 mlangoni, mara kesho elfu 8,000. Haya sasa wajanja wa Maisha ndo hao wamepiga hodi kuwaonyesha how to hustle and make some big bucks bigtym!
ReplyDeleteMaisha welcome home mazee, its been a longtym coming! Bado na ile ya pale karibu na Rombo hotel pale mjini Daslam, njooni wote mji uchangamke!
Wenye pesa fungueni clubs nyingi muongeze ushindani. Tumechoka na Club 48. Bei kuuubwa CHA MAANA HAKUNA!
ReplyDeleteaisee inakuwa ivo nimeona jana watu kibao wanaunguza pesaz pale
ReplyDelete