Waziri wa Viwanda na Biashara  Dkt. Cyrial Chami pamoja na Naibu wake Lazaro Nyalandu  wakipongezwa na baadhi ya wabunge mara baada ya Bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka wa Fedha 2011-2012 jioni
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoana Serikali za Mitaa (ELIMU) Majaliwa Kassim Majaliwa (mwenye miwani) akijadiliana na Mbunge wa Mtwara mjini Hasnein Murji katika viwanja vha Bunge Dodoama Aug,10,2011 baada ya Bunge kukubali kupitisha Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya  Viwanda na Biashara kwa mwaka wa Fedha 2011-2012, (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...