Washiriki  30 wa Shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011  wakiwa mjengoni mwao.
Ofisa Mkuu wa Masoko na mahusiano wa kampuni ya Vodacom,Mwamvita Makamba akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Vodacom House Miss Tanzania 2011 usiku huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency inayoratibu shindano la Miss Tanzania,Hashim Lundega pamoja  Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza wakishuhudia tukio hilo.
Vigele gele na shwangwe zilizuka mara baada ya uzinduzi wa nyumba hiyo ambayo watakuwa wakikaa Washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2011 na kufanya shughuli mbalimbali ndani ya jumba hilo ambalo limesheheni kila kitu.
Mandhari ya jengo hilo la Vodacom  House Miss Tanzania likionekana kwa nje.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kaka kwani Mwamvita ni MJAMZITO?
    Mbona kama kavaa TENITI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...