Home
Unlabelled
malavidavi enzi za mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mhh bwana michuzi umenikumbusha mbali sana enzi hizooo,hata mi nilikuwa nazipata sana vibarua hivi Haahehehehe Big up mdau toka Lindi.
ReplyDeleteyaani umenikumbusha mabali sana enzi hizo nasoma zanaki naandika barua kwenda tambaza heeeeeeee i wish if i can turn back the clock lol miss them days!
ReplyDelete1994 or 1984? nafikiri 1994 ni juzi tu sio mbali.
ReplyDeleteHalf anonimous August 18 11.33 kama nakuona vile ulivyokuwa unapata bara kibao kwa rafiki wa kalamu lol...! Zanaki na Tambaza, Jangwani na Azania....! na orodha ndefuuuuuuuuuuu inaendelea....!
ReplyDeletewee ankal misupu umenikumbusha mbali....sisi wengine tumeshamwagiwa takataka usiku ni pale ngoma inapogonga mwamba na unakuta siku iyo anayekuja kumwaga taka ni mama mwenye Nyumba...baada ya ...........Tetetetetetet
ReplyDeletehii umenikumbusha mbli sna wakati uwo npo mtwara mahulunga npo shuleni kma kilanja na kapenzi kangu nko kalikuwa kilanja nikamwandikia barua ya kumtahalifu kuwa usiku nitamwaga mchanga chumbani kwke alafu amke aje anifungulie mlango basi ile barua nikampa katoto cha darasa la 3 ampelekehe kumbe yy akupeleka akajisahau na mm usiku ulipo fika nikajua taharifa anazo nikaenda nikawa nalusha mchanga dirishani kumbe iyo cku kulikuwa na wageni yy akulala apo chumbani alilala mama yke na baba yke wageni wakapishwa chumba cha wazazi uyo mzee akahamka akiwa anakuja niliic ila nikajua kuwa yes mpnzi wngu anakuja kunifungulia kuja kufungua baba wa mtt nikakamatwa nikahambiwa mwzi na kma si mwzi basi ni mchawi nataka kupelekwa kwa mjumbe binti akasema uyo ni mpnzi wngu alijua mm nimelala uko chumbani mzee akakasilika akasema kwakuwa umesema uyu ni mpnzi wko kuazia leo nenda kwao mukaishi wte adi leo hii nko nae nimezaa na wtt 3 mmoja wa kiume 2 wa kikewa kwnza ana miaka 16 namaisha yanaenda safiii kabisa na atuna tatizo llte lile la kiuchumi kwa sasa tunaishi dar tbt kwnye nyumba ytu
ReplyDeleteWe Anon 18, 01:22:00 PM Acha uongo hakuna kitu kama hicho yaani mtu aache IKULU ( State House) eti kupisha wageni???!!!!!!!!!!!!. Unatunga hadithi yako katika kuchangia ujue wanasoma watu wazima siyo chekechea bwana..
ReplyDeleteKaka juu hapo unafikiri jamaa katunga hilo linategemeana na uzito wa ugeni na ubora wa vyumba enzi hizo watu walikuwa na hekma
ReplyDeleteMichuzi hii ni kali sana inanikumbusha mbali sana nilipokuwa nasoma muhimbili primary school 1985, wakati ndio naanza ujana
ReplyDeleteSALAMAA UA FITNAA NDEGE ITATUA AU UWANJA UNAMATOPE DUU YANI THOSE DAYS WE ACHA TU.
ReplyDeleteNimecheka sana. Nimemwonyesha mke wangu akasema yeye hakupokea barua kama hizi! Nimpe talaka nini?
ReplyDeleteDu Nakupenda mpaka ziwa victora likauke.mi niliandika basi kila nikimuona jasho linanitoka kishenzi mikono na miguu inakuwa ganzi tupu basi nikakadondosha tangu hapo nikatengeneza story.hivi bado tupo kwenye jamii?
ReplyDelete