Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, wa pili kushoto, Mke Makamu wa Pili wa Rais Mama Asha Balozi Seif na kulia Mtoto Farida Abdalla Ali anayeishi katika nyumba hiyo na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Mama Pili Balozi Seif wakimsikiliza mmoja wa watoto wa yatima akitowa shukrani kwa Mke wa Rais wa Zanzibar baada kufutari.
WATOTO wa Nyumba ya Serikali ya Watoto yatima Mazizini wakipata futari iliyoandaliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein.
HIVI ndivyo ilivyokuwa katika mambo ya futari nyumba ya watoto mazizini.
Watoto wakijichana kwa msosi maalum kwa ajili yao walioandaliwa na Mama Mwanamwema Shein.
HAYA hii juice yako ndivyo inavyoonekana akisema muhudumu huyu wa Ikulu kwa watoto hawa wakijipatia futari katika mjengo wao Mazizini.Picha Zote na Othman Maulid-Zanzibar
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...