Sehemu ya Mashekhe na umati wa Waislamu uliofurika katika ukumbi wa Diamond Jubilee hall jijini Dar es salaam kushuhudia mashindano ya kuhifadhi Kuraan Tukufu yaliyoshirikisha wanafunzi wa madrasa toka Bara na visiwani
Sehemu ya washindani wavulana
Washindani wasichana
Mke wa rais Salma Kikwete (wa pili kulia) akimsaidia kuwasha Pikipiki ya kubeba mizigo Mshindi wa kwanza wa kuhifadhi Kuraan juzu 30 Khalid Omar Mbarouk (15) katikati wa Madrasat An-Nujum ya Temeke yaliyofanyika Dar es Salaam jana. Kushoto ni Jaji wa Hifadhi, Hassan Ahamed Katunguya na kulia ni Mwenyekiti wa Mashindano ya kuhifadhi Kuraan nchini Bi Aisha Sururu.


asalam aleikum michuzi naomba utuwekee video ya huyu mtoto kama unayo
ReplyDeleteshukrani
safi saana kijana kwa umri huo kwa kazi hiyo. una akili yenye afya njema, ipe mzigo saizi yake, namaanisha na hisabati na sayansi nazo ufanye kweli.
ReplyDeletehongereni ahsanteni kwa good news Mungu awabariki.
ReplyDeleteas(aleykum) ankali wallah mi nikickia mtoto kama huyu kahifadhi juzuu 30 mwili wote unanisisimka mungu amzidishie amuongoze katika swiratul mustakiim hapa dunian na kesho akhera na cc pia atujaalie vizazi vitakavyokuwa na vichwa kama iko vya kuhifadhi qur aan tukufu aaaaaaaaaaamiiiiiin.....!
ReplyDeleteMDAU
MUDDY(UDOM)
Hii zawadi yake mbona kama imewahi sana? Nahisi kama kwa miaka yake hicho chombo cha moto si salama kwake, unless kitakuwa chini ya muangalizi mwingine.
ReplyDelete