Katibu wa Jumuiya ya Kuhufadhi Kuran Tanzania, (TAHFIDH TRUST), Bw. Othman Kaporo, akizungumza na waandishi wa habari jana mchana jijini Dar es Salaam, kuhusu mashindano ya kuhifadhi Kuran yanayotarajiwa kufanyika kuanzia Jumapili ya wiki hii jijini Dar es Salaam. Mashindano hayo yatashirikisha nchi mbali mbali za Kiafrika.
Baadhi ya washiriki a mashindano hayo kutoka nchi mbali mbali za Afrika.
Picha na Victor Makinda


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...