Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni jijini Dar es salaam Mh Yusuph Mwenda akitoa neno la shukrani baada ya futari aliyowaandalia madiwani, wazee na wadau wa manispaa hiyi Ijumaa jioni Kinondoni bomani
 Mstahiki Meya wa Kinondoni Mh Yusuph Mwenda akiagana na Mstahiki Meya wa Ilala Mh Jerry Silaa baada ya hafla hiyo. Kwa mapicha zaidi ya hafla hii BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...