Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ( kushoto) akibadirishana mawazo na Mbunge mwenzake wa Jimbo la Morogoro Kusini, Innocent Kalogeries , mwanzoni mwa wiki mjini hii mjini Morogoro.
Masista wa dhehebu moja la Dini wakiangalia uzalishaji wa mbegu kwa kutumia chupa kwenye banda la Wizara ya Kilimo , Chakula na Ushirika , kitengo cha Utafiti Kanda ya Mashariki, wakati wa maonesho ya wakulima hivi karibuni Mkoani Morogoro.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Wilaya ya Mvomero, Mkoaa wa Morogoro, Pololeti Mgema ( kushoto) akiwa ameketi kwenye kiti pamoja na ndugu yake ,wakipatiwa maelezo na wataalamu wa Shirika la Kimataifa la Kimaendeleo la nchi ya Korea Kusini (KOICA) hapa nchini , juu ya matumizi mbalimbali za zana za Kilimo na Ufugaji , siku ya kilele cha maonesho ya wakulima Agosti 8, mwaka huu, Kanda ya Mashariki.Picha na John Nditi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...