Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sakata la wanyama kutoroshwa inatakiwa waziri na hao waliohusika wasimamishwe kazi mara moja bila malipo, wafikishwe mahakamani kwa makosa ya uhujumu uchumi, wafungwe na wapigwe faini kali. Mnavyowapa muda ndivyo mnawafanya watunge uongo na kuandika taarifa za uongo mwisho wataonekana hawana hatia. Tanzania imekuwa ikiendeshwa kwa mtindi huu miaka nenda rudi. Bado hamjifunzi tu?

    Pia wanyama hao warudishwe nyumbani haraka iwezekanavyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...