Asalaam alaykhum ankal,

Pokea link hii nimeikuta ESPNSOCCERNET wanazungumzia mechi ya juzi ya
yanga kweli inatia moyo sasa hata soka la bongo linaongelewa kimataifa
inamaa limeanza kuvuka mipaka na kupasua anga link ni hii
http://soccernet.espn.go.com/columns/story/_/id/945261/africa-report:-abductions,-domitable-lions,-a-derby?cc=3888

Regards

Wajina

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamaa kaiongelea vizuri kweli kama Movie la Commando John he!he!he!.

    ReplyDelete
  2. Ankal naomba nitumie jukwaa lako kuomba wananchi tusiingize siasa kwenye mpira wetu kama ambavyo mwandishi wa ESPN anatavyoeleza. Mimi ni Yanga na Chadema.

    ReplyDelete
  3. kaongelea vizuri lakini sina uhakika kama JK alitinga ground afu Yanga hawakuanza na Mzambia

    ReplyDelete
  4. Mkuu mie pia Simba ila nakubaliana na Hilo na hili ndio linarudisha mpira wenu kuna forum ya mitaa flani limenisikitisha kuona Siasa na Urangi na Udini umeenezwa kwenye stori ya mpira hasa Siasa na Urangi imekuwa kama sasa ni Timu ya Taifa hata Taifa pia tusiweke Urangi. Tupende KABUMBU letu na kuliheshimu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...