Natoa wazo “ukweli mchungu ila una manufaa” sasa naomba nitofautiane na watanzania wenzangu kuelekea siku kuu ya Idd Elfitri, mimi sitatoa mbuzi, sitatoa mchele wala soda, bali natoa zawadi itakayoishi milele kuanzia kwa watoto wetu mpaka wazee wetu, Idd Mubarak watanzania wenzangu “NAOMBA TUJENGE UTAMADUNI WA KUPENDA KUJISOMEA DAIMA”
Mtembelee Nova Kambota BONYEZA www.novakambota.com
hapo ni Morogoro?
ReplyDeleteHiyo siyo zawadi, hilo ni ombi. Zawadi ungetoa vitabu, au bati kwa ajili ya kujengea darasa. Kuhimiza katika mambo ya elimu ni wajibu kwa waislamu, hivyo hutofautiani na Mtanzania yeyote. Ni kwamba tu huelewi dhana nzima ya zawadi!
ReplyDelete