Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Kaka MICHUZI asante sanaaaaaaaaaa INTERVIEW zako zanifurahishaga sana tafazari endeleza libeneke.Hiyo Party ya mwisho ulivyomuuliza SUGU kuhusu Kama ameshaoa nimecheka mpaka basi naona jamaa kapata kigugumizi kukujibu hilo swali Hahaha...
    Mdau-Kwa BIBI.

    ReplyDelete
  2. Sugu kwanza hongera kwa kuingia mjengoni ukiwa bado kijana. Lakini ningependa kukushauri tu kwamba CHADEMA kuingia ikulu 2015 ni ndoto. Bado wapiga kura ni walewale na hamjaonesha jambo lolote litakaloteka fikra zao ili wawape kura. Chadema hamjajikita vijijini ambapo ndipo wapiga kura wengi walipo na ambao wanaijua ccm tu na sio chama kingine. Pili watanzania wengi bado wana woga na watu wapya. Japokuwa mmeanza kukubalika kwa baadhi ya vijana, watu wa mijini na wasomi lakini waliobaki bado hawawaamini. Wanaona ni heri haohao wanaowaibia lakini wanawapa vikhanga na pilau kuliko ninyi ambao hamtabiriki. Kuna ambao wanaona sura, dini na kabila ndizo sifa za kiongozi. Mna kazi nzito sana ya kubadili fikra za watanzania.

    Pia mheshimiwa Mbowe anaonekaana ana ukabila na hiyo itakuwa sumu kwenye chama kukubalika na watanganyika wengi.

    Halafu na wewe jitahidi kuwa karibu na wapiga kura wako. CCM itakunyanganya jimbo sasa hivi. Usishangae 2015 unatupwa nje.

    Nawatakia kila lakheri.

    Mwananchi nisiyekuwa na chama ila mpenda maendeleo.

    ReplyDelete
  3. michuzi interview zako ni nzuri sana hasa katika kuwahoji wabunge na mawaziri mbalimbali,hii inaonesha jinsi gani upo tofauti na watu wa blogs nyingine.mwisho swali ulomuuliza MR.sugu kashindwa kujibu kwa sababu mpaka sasa wabunge wengi wa chadema hawajaoa.

    ReplyDelete
  4. 2015 tunachukua dola. Ndoto za mwendawazimu!

    ReplyDelete
  5. Mnaweza kuwa na wabunge wengi zaidi 2015 lakini sio kuchukua dola. Kama Mdau #2, alivyonena. Ondoeni ukabila, udini, umimi na kisha fikisheni CHADEMA vijijini. Kama CCM watakuwa hawajabadilika bado mpaka 2025 basi mtachukua!

    ReplyDelete
  6. du nadhani hata matonya ana haki kuingia mjengoni akawatetee omba omba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...