Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa akimkaribisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd aliyeko Kushoto kuzungumza na Makamanda pamoja na Maofisa mbalimbali kuhusu mikakati ya kupambana na uhalifu nchini katika kituo cha Polisi Madema kuliani kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais
Makamanda na Maofisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi ambao walihudhuria Mkutano wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd hayupo pichani alipokuwa akielezea mikakati ya kupambana na uhalifu Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Moh'd Aboud Moh'd akizungumza leo na Makamanda pamoja na Maofisa mbalimbali hawapo pichani kuhusu mikakati ya kupambana na uhalifu nchini katika kituo cha Polisi Madema Zanzibar kuliani kwake ni Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa
Picha na mdau Yussuf Simai-Maelezo Zanzibar


Uhalifu gani unaozungumziwa hapa ?Si police ya Tz bara wala Znz wanaofanya kazi kwa umakini,wanyama pori wanasafirishwa bila police wala wapelelezi kujua.
ReplyDeleteNi aibu kwa taifa kiujumla,mali asili ni mali ya watanzania wote na sio ya viongozi peke yao.