Mwenyekiti wa CPA Tanzania Mhe. Azzan Musa Zungu akiendesha KikaoC cha Kamati Tendaji ya Tawi mjini Dodoma leo.. Kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa CPA Mhe. Job Ngugai na Mhe. Abdulkadir Shah (Mjumbe). Kulia ni Ofisa wa Dawati la CPA Bw. Saidi Yakubu na Mhe. Vita Kawawa (Mjumbe) Picha na Prosper Minja-Bunge
Home
Unlabelled
CPA Tawi la Tanzania wakutana Dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...