Mama Munanka akibadilishana mawili matatu na mchungaji Niku hii ilikua ni kabla ya misa ya kumuaga mpendwa wetu Sabastian Thomas
Kulia ni Mke wa Marehemu Sabastian Thomas akiwa pamoja na mdogo wa marehemu wakifuatilia misa ya kumuaga Mpendwa wao
Ndugu na Jamaa wa Marehemu Sabastian thomas wakifuatilia misa ya kumuaga mpendwa wao
Wanakwaya wakiimba moja ya nyimbo za kumtukuza Mungu
Familia ya marehemu,ndugu na jamaa waliofika kwenye maziko ya mpendwa wao Sabastian Thomas
Geneza la Sabastian Thomas likiwa juu ya nyumba yake ya milele.
Juu kushoto na chini kulia ni mke wa marehemu akipacha chakula na ndugu na jamaa baada ya mazishi ya mpendwa wao.
Ndugu wa marehemu Sabastian wakipata Picha ya pamoja kwenye chakula baada ya mzishi ya mpendwa wao.
Ndugu na jamaa waliofika Dino's wakijumuika pamoja kwenye picha ya kumbukumbu
Juu na chini ni Ndugu na jamaa wakipata chakula cha pamoja
Picha zaidi bofya VIJIMAMBO BLOG
poleni sana bati na ndugu na jama wote na naomba nisameheyeni nimeshindwa kuja huku NY tuna kimbunga. shukran mola amleza mahali pema peponi na mola akupeni roho ya kustahamili bwana amatoa na amechukua amin.
ReplyDelete