mwakasege.jpg                             
Mwl.  Christopher Mwakasege 
                                                              
Jumuiya ya wakristo katika Uingereza na Ulaya inawakaribisha katika mkutano wa neno la Mungu utakokuwa ukiendeshwa na mtumishi wa Mungu Mwalimu Christopher Mwakasege kutoka Tanzania.  
Mwl Mwakasege ni Mchumi na Mwalimu wa neno la Mungu ambaye mafundisho yake hayana mlengo wa aina moja tu. Njoo ufaidike katika maeneo yote ya maisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. be astonished by this
    http://www.youtube.com/user/CloningIsFun#p/u/3/-WxT79R-p98

    ReplyDelete
  2. Amen, nampenda sana Mwakasege na hili tangazo limechelewa kuwekwa maana hapa nilipo sikusikia ratiba yake kwa mwaka huu, i wish ningejua mapema niliombe holiday kazini na pia watumishi mbona hamjatupa address? Na maelezo mengine kama tunaotoka nje ya Birmingham inakuweje?
    Au si kweli? na mbona hili tangazo limechelewa sana kipindi hiki?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...