ASSALAAMU ALAYKUM
TAARIFA YA DARSA MWEZI WA RAMADHAN LEICESTER UK:
Ndugu katika imani, Inshaallah darsa zetu za Ramadhan zitaanza JUMAMOSI 6 Agosti 2011 kuanzia saa MOJA KAMILI JIONI (7.00PM), zitaendelea kila JUMAMOSI NA JUMAPILI za mwezi wa Ramadhan katika nyakati hizo hizo.
PAHALA: 1st Floor, Kocha House, St Matthews estate, Leicester LE1 2PD.
Tafadhali tujitahidi kuhudhuria ili tunufaike Inshaallah.
Pia tusisahau kuleta futari kwani tutafungua kinywa pamoja kama kawaida.
KINAMAMA NA KINABABA
Jazakal Lah Khayr

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inshalla Ramadhani njema woote.
    Darasa la kwanza kwa wote wakristo na waislam
    Allah ni Mungu wa wakristo pia?
    http://www.youtube.com/user/CloningIsFun#p/u/3/-WxT79R-p98

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...