Mnuso huo uliyofanyika jana uliandaliwa na dada yake Bi harusi mrarajiwa Aksa Sekwao, Mrs Neema Sonda, pamoja na marafiki zake kutoka mji huo wa Reading Kama kawaida ya mnuso wa jikoni, wanawake hawa walikaa na kumpa mawili matatu huyu dada ya kumsaidia ktkt maisha yake ndoa. Kama tunavyoona ktk picha sherehe hii ilifana kupindukia. Picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Totoz, naona mji wa kusoma wamejaa wengi ndo maana wanaolewa.Nice one I like it

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...