Mnuso huo uliyofanyika jana uliandaliwa na dada yake Bi harusi mrarajiwa Aksa Sekwao, Mrs Neema Sonda, pamoja na marafiki zake kutoka mji huo wa Reading Kama kawaida ya mnuso wa jikoni, wanawake hawa walikaa na kumpa mawili matatu huyu dada ya kumsaidia ktkt maisha yake ndoa. Kama tunavyoona ktk picha sherehe hii ilifana kupindukia. Picha zaidi BOFYA HAPA
Home
Unlabelled
Mnuso wa Jikoni wa bibie Aksa Sekwao, Mji wa kusoma (Reading) UK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Totoz, naona mji wa kusoma wamejaa wengi ndo maana wanaolewa.Nice one I like it
ReplyDelete