Habari za kazi kaka Issa!
Nilikuwa naomba kurushiwa tangazo langu hili hapaNatafuta tution ya lugha ya Kidenish kwa yeyote anayejua mahari wanapofundishaau kama kuna mtu anayejua Kidenish  anipigiea kwa namba  hii: 0713 374269 
Asanteni sana
Mdau Jeni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mdau kabla ya kidenish nakushauri ujifunze kiswahili kwanza.

    ReplyDelete
  2. Asante mdau wa kwanza...mbona umeniwahi jamani?....Anyway kama hicho kidesh anachokitaka ni cha kutongozea tuu hamna shida tuko tayari kusaidia.

    ReplyDelete
  3. Nimecheka bali mko so rude hapo juu.
    Huu ni ukatili wa hali ya juu.
    Jamaa anajua kiswahili na kiingeleza "tuition" shida ni typing errors.
    Mkuu usikwazike na comments za humu ndio ukubwa.

    ReplyDelete
  4. Majidi Mjengwa kwani ye anajua kiSwidish tu kiDenish hajui?

    Mtafute Majidi kwenye www.mjengwa.blogspot.com atakusaidia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...