Habari za leo Kaka Michuzu,
Pole na majukumu ya kuelimisha na kutuhabarisha jamii kaka michuzi,
Naomba unirushie hili Tangazo langu kwani najua huu ni ulimwengu wa utandawazi.
Mimi ni mdada wa age below 30 natafuta Mchumba ambae yupo serious na ambae ni dissent guy.Nina elimu yangu nzuri tuu na ambae yupo serious angalau awe na degree na pia awe mkristo.Najua wadau mtaponda sana ila ndo mambo ya utandawazi.Nashukuru kaka michuzi kwa kazi nzuri unayoifanya,kwa mawasiliano nami ni charityjohn24@yahoo.com


Ni jambo jema ulolifanya, kila la kheri. Ukifanikiwa tujulishe ili na wengine wape kutambua umuhimu wa kupashana habari
ReplyDeleteUmeshasema kuwa watu WATAPONDA SANA.....Kwani ulishajuwa ulichoandika kina matatizo, wewe unasema mtu awe msomi angalau DEGREE, wewe unataka kuolewa au unataka kuowa,
ReplyDeletekama unataka kuolewa na masharti hayo dada yangu utamtafuta sana mume wa aina hiyo kwani ukimpata mwenye degree hatoridhika na wewe ulivyo kwani yeye ataangalia uzuri wako vile vile sio DEGREE uliyonayo wewe tu, na wasomi hawakaliani pamoja kwani hapo patakuwa hapana ndoa bali ni darasa, dada yangu mapenzi sio hayo uliyonayo wewe
wewe hutaki mume wataka degree, sasa hili tangazo lako ungelipachika pale mlimani wakimaliza kuchukuwa degree zao waje wakuangalie ulivyo, na wengi wenye degree hapa bongo huwa wabaya wa sura ataupewe BURE HUMTAK, sasa kazi kwako dada yangu
endelea kutowa masharti yako ila jua UMRI unakatika na utakufa na degree bila mume wala kizazi
kila lenye kheri katika kutafuta degree IKUOWE
Wacha kumtisha na kundanganya dada wa watu, umejaza uwongo mwingi eti wenye degree huwa wabaya wa sura hata upewe bure humtaki wewe muongo mkubwa, mimi nina degree 2 niko njiani kupata ya 3, nina mume, nina watoto na ni mzuri wa haja.
ReplyDeleteDada kuna kitu umekosea umeandika dissent sasa hiyo ulikuwa unamaanisha decent? Kupata mtu aliye decent hakuhitaji degree bali ni tabia tu ya mtu.
Kuhusu suala la elimu una haki ya kuchagua wa elimu gani unamtaka maana wakati mwingine mwanaume ukimzidi elimu atakuona unadharau kila unachosema atarefer kwenye elimu yako bora yeye ndio akuzidi.
Unataka mtu mwenye degree lakini kama hana kazi vipi utamtaka pia?
ReplyDeleteUtapata tu dadetu, mambo si tayari hadharani? Ila angalia usije pata unayemtafuta manake "awe dissent? Dissent = dispute, oppose, balk, disagree, differ, yani kwa kifupi full songombingo segemnege hapo! Just joking usiogope!
ReplyDeleteJamani, jamani! Kimombo lugha ya watu wengine, tena wakoloni wa zamani. Wengine wetu pamoja na kujua fika mdada kamaanisha "decent", ila bado yaleyale ya 1910 ili waonekane hiyo waibamba zaidi na wanaweza kukosoa.
ReplyDeleteDada naomba tuwasiliane kanamaja10@hotmail.com :)
Mwali umekaribisha vibaka kwa bei ya jioni.....kuwa makini sana!
ReplyDeleteSafi sana kwa ujasiri wa kuainisha mtu unayemtaka. comment za wakatishaji tamaa zisikubabaishe.
ReplyDeleteNina mashaka na mchangiaji wa pili alivyoponda degree. Mimi nina Mume ana degree 2 handsome wa kutisha. Unataka kusema handsome wa bongo ni empty ni head? wabaya ndo wamesoma? mdada kaweka bayana anataka degree wala hakuongelea maswala ya uzuri. Naomba nikuulize swali wewe mchangiaji, ina maana viongozi wote waliopo serikalini, private sectors, wote wana sura mbaya? Naomba kama wewe ni mwanaume uwaombe wenzio radhi kwa kuwaambia wana sura mbaya, kama ni mwanamke uwatake waume zetu radhi maana wana degree na mahandsome wa ukweli. na kwa taarifa yako binadamu wote wameumbwa kwa sura na mfano wa Mungu.
ReplyDeleteHongera sana Mdada kwa ujasiri maana wanawake wengi ni single na hawana ujasiri wa kusema kwamba ni single kila mtu utasikia anae kijana hata kama hana ataona aibu kusema mbele ya watu....! HOngera sana na M'Mungu atakupatia kijana mwenye sifa utakazo
ReplyDeleteHii si njia nzuri kupata, mtu sahihi kwako, na elimu si kigezo cha mume bora,
ReplyDeletewell done Mdada,
ReplyDeleteMimi nina degree, lakini nina mwaka wa saba sasa sina kazi, muda wangu mwingi niko kijiweni niko na washikaji napata kinywaji kwa kwenda mbele. Washikaji hunisaidia sana hela za kinywaji na matumizi mengine, kama uko tayari poa tuwasiliane!!
ReplyDelete