Caterpillar likiendelea na matengenezo ya barabara ya kilwa eneo la mbagala rangitatu ,barabara hiyo ni miongoni mwa barabara chache ambazo ujenzi wake umekuwa wa kusuasua kwa muda mrefu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. haya sasa kwa wakazi wa mbagala, barabrara ndo hiyo inakuja nadhani watu tutahamia huko kwani foleni itapungua kama sio kwisha.

    ReplyDelete
  2. Nashukuru Serikali kwa kusikia kilio chetu na kuanza ujenzi wa kilometa 1.5 zilizobaki. Kuisha kwa barabara hii kutapunguza sana msongamano kwenye eneo hili la Rangi Tatu.
    Naendelea kufuatilia maboresho ya barabara za ndani ili wakazi wa Mbagala, Mbagala Kuu, Charambe, Chamazi na Mianzini waweze kuchepuka na kutumia barabara hizo badala kutumia barabara hii.Wana Mbagala tuzidi kuwa pamoja.
    Dr Faustine Ndugulile-Mbunge Kigamboni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...