Hayati Kidee Bendera 
Familia ya Bendera Tazanu na marafiki wanaoishi Washington DC,  wanamasikitiko makubwa kutangaza kifo cha mtoto wao mpenzi,Dada na rafiki yao mpendwa,Kidee Bendera Tazanu,kilicho tokea leo Alhamisi Aug 11,2011 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Mipango inafanywa ilikuwezesha kupeleka mwili wa marehemu nyumbani Tanzania kwa mazishi..Watanzania wenzangu DMV msiba upo
Address
2159 Ballast Lane
Woodbridge, VA 22191
Pia tunaomba michango yenu ya hali na mali ilikuwezesha kuusafirisha mwili wa marehemu Tanzania.kutakua na kitabu cha rambirambi nyumbani au unaweza kutuma rambirambi zako kupitia
Joyce Mshana Collins
Bank of America
A/C # 435027268759
Routing # 051000017
Regular checking - walk inn
435027271087


Kwa mawasiliana na maelekezo

Clifford Tazanu 202 650 9060
Joyce Mshana-Collins 240 350 0386
Santa Chacha 240 418 6459
Judith John 240 432 3228
Guni Bendera 780 707 6310     
Ernest Mwanri 416 727 1579    
Emmanuel Mmari 647-438-9382

Phanuel Lgate 240 605 1870
Mayor Mlima 301 806 8467
Quizela Ntagazwa 240 602 5011
Edgar Tibaikwetira 240 460 1539
Didi Vava 301 646 5683
Dj Luke Joe 301 661 6696
Loveness Mamuya 240 423 0437
Bwana ametoa,Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Poleni sana familia ya Mmari,Mshana na Tazanu.
    Tupo pamoja.
    RIP Dada Kidee (mama Maya).

    ReplyDelete
  2. Mmmmh!

    Si ndio hapa pametokea msiba mwingine juzijuzi tu hapa?

    Sasa watu watakuwa na pese nyingine tena za harakaharaka hivyo za kuchanga? Ni mtihani!

    Lakini tumwombw Mungu. Kwa Mungu hakuna lisilowezekana.

    Amen

    ReplyDelete
  3. Poleni sana wakazi wa DC,naomba tuzidishe upendo na umoja wakati huu wa mitihani ya misiba iliyotokea kwa kipindi kifupi.
    Mimi naona ni busara sana mlivyoweka bank account(BOFA) ambayo ipo sehemu zote USA,lakini muwe mnaweka wakusanyaji wachache tu na wawe ni watu wa karibu na marehemu kuondoa longolongo na kupata urahisi wa mahesabu.
    Ni mawazo yangu tu ,mtaniwia radhi kama nitawaudhi wengine.
    Tumuombe m.mungu atusaidie tuwe na mshikamano kwenye hili na mengine.
    .

    ReplyDelete
  4. Pole sana Guni. Mungu Amlaze mahala pema peponi dada yetu Kidee. Ameugua nini muda mfupi hivi jamani? Alikuwa bado mdogo sana.

    ReplyDelete
  5. tumemaliza kuchanga msiba wa dada yetu, sasa msiba mwingine huo. na michango ilisuasua saana.

    kwa nini tusijadili njia ya kuhifadhi ndugu zetu huku?

    ReplyDelete
  6. Poleni sana familia ya bendera,mama, baba, Guni, Joel na familia ya Tazanu. Kidee upumzike kwa amani. Nakukummbuka sana zile enzi za Upanga. Bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe. RIP dada Kidee. Amen.

    Peter M (UK)

    ReplyDelete
  7. mama bendera , jikazee tu mama inauma lkn mungu amempenda zaidi , tumeguswa wengi na tupo pamoja kwa maombolezo ya dada yetu mpendwa kidee,
    R I P DADA KIDEE;

    ReplyDelete
  8. Poleni sana,what a loss to her family,she will always be remembered!

    ReplyDelete
  9. poleni wanafamilia na dc kwa ujumla. nawaombeni tu muwe na mshikamano kama wenzetu wa ugiriki, kikweli kwenye maswala ya msiba mnasuasua sana sijui huko tatizo ni nini hakuna umoja huko? haya wana dc wote mshikamane kwa hali na mali na kama mtaona gharama basi kaeni na wanafamilia mpange mkakati wa kumpumzisha mwenzetu hukohuko.

    ReplyDelete
  10. mnaosema azikwe huku mnadhani ni kitu cha kuamua tu? after all hata mazishi ya marekani bei yake haina tofauti sana na kusafirisha. halafu inabidi na wazazi na ndugu wa karibu waje, sasa hapo unakuwa ume-save nini?

    ReplyDelete
  11. masikini huyu dada alikuwaga mzuri....

    ReplyDelete
  12. Mambo mawili ambayo tumeyakubali kusaidiana katika utamaduni wa kiTZ ni Harusi na Maziko. Kwahivyo tujitahidi kusaidiana kwa hali na mali kwenye haya mambo. Poleni wafiwa.

    ReplyDelete
  13. Poleni sana familia ya Bendera na wote walioguswa na msiba huu. Mungu awape nguvu na faraja ktk wakati huu mgumu. Upumzike kwa amani Kidee.

    Jirani-Obay

    ReplyDelete
  14. Gerson BenderaAugust 12, 2011

    It kills me knowing i lost my sister kidee. But all is gods plans. I am with you uncle shein bendera. We here stand as family for ever.we are here as bendera's.us Martin bendera and Anita bendera and our children Alma bendera, Skyna bendera and i Gerson bendera show our standings. May the soul of my sister rest in peace.

    ReplyDelete
  15. Wazo zuri sana la kuhifadhi watu wetu huku huku tulipo,mwenyezi mungu yupo dunia nzima na hii dunia yote ni yake,sioni tofauti ya mtu kuzikiwa huku huku kama wazazi au ndugu wa karibu wametoa ruhusa mazishi yafanyike huku.Umefika muda wa kulijadili suala hili kwa kina sana kupitia misingi ya imani za watu.Udumu umoja wetu na undugu wetu wakitanzania,poleni sana kwa huo msiba uliowapateni,roho ya marehemu sister wetu ilale mahali pema peponi penye amani na upendo,kwa jina la jesus christ na kwa dua zake atapokelewa vizuri katika safari yake ya milele.Karenga Toronto.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...