Wadau Omari na Richie wa Stockholm,wanasikitika kutoa taarifa za kifo cha baba yao mzazi,Mzee Othman Said (pichani) kilichotokea leo hii tarehe 04/08/11 huko nyumbani kwao Tanga.
Mazishi yanafanyika kesho tarehe 05/08/11 alasiri huko Tanga. 
Kwa taarika zaidi waweza mpigia Richie +46737787846.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mola amfutie dhambi zake na amjaalie makazi mema peponi marehemu,na awape subira wale wote kilichowagusa kifo hiki amina.

    ReplyDelete
  2. INNA LILAHI WA INNAILAHI RAJIUN..EH MWENYEZI MUNGU WAPE SUBRA KTK KIPINDI HIKI KIGUM RAFIKI ZETU NA AMPE KAULI THABIT BABA YETU.
    AMIN.

    MDAU.....
    SITY
    DAR ES SALAAM.

    ReplyDelete
  3. Mmungu Amhufirie madambi yake na amuweke karibu nae nasi Mmungu atusamehe makosa yetu na kutupa hatma njema tutakapo ondoka hapa duniani

    Makame khalid

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...