Home
Unlabelled
SERIKALI YAFANYA KIKAO CHA DHARURA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA JIJINI DAR LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona wote wamiliki vituo hivyo ni wahindi na waarabu, watanzania halisi wako wapi jamani, do not sleep in your own country. wake up na nyie mjikongoje na siyo kutawaliwa tuuuuuuuuuuuuuu.
ReplyDeleteEliakim, kijana wetu huyu!
ReplyDeleteMafuta ni nyenzo muhimu kwa uchumi wa nchi, kwa hiyo kama jukumu la kuyaagiza nje linawekwa mikononi mwa watu binafsi kuna siku ya majuto.
ReplyDeleteHAWA JAMAA WANAOGOMESHA DAWA YA NI KUWAPIGA "PI" TU ILI WAENDE MAKWAO, WANAHUJUMU UCHUMI KWA WIZI TU
ReplyDeletemdau hapo juu wewe ni mpumbavu sana , akili zako hazina akili, sasa uhindi na uwarabu umeingiaje hapo ? kwani wao si watanzania ? kwani weusi wamekatazwa kumiliki vituo vya mafuta ? PAMBAFFFFF YAKO.... hebu nikuulize swali kwani mafuta unajua yanatoka wapi ? chanzo chake ? BUKOBA ? amka !!!
ReplyDeleteukweli unauma kweli..hamna mzalendo hata mmoja hapo..wote ni wana mirija tu..anonymous fri august 09.47.00 am 2010 funga bakuli lako...ni sisi wizara tumegundua wauzaji ni akina nani so tunaanza mikakati ya kuhakikisha hali halitakaa litokee tena milele
ReplyDelete